Ronadihno vs Okocha nani alikuwa zaidi?

Ronadihno vs Okocha nani alikuwa zaidi?

Waafrika huwa tunamtetea okocha sababu ni mwenzetu! Ni kweli inawezekana okocha alikuwa na kipaji zaidi ya ronaldinho lakini alikosa vitu basic ambavyo ndio vilimuangusha!
Hata dinho mwenyewe ashawahi kusema okocha ndio namba 10 aliyokuwa anaipenda zaidi!
Sasa tujiulize zaidi ya psg, kwanini alishindwa kucheza timu kubwa akiwa katika ubora wake, madrid,barcelona,Liverpool,man u, ac milan, Juventus, intermilan, arsenal, Bayern Munich basi hata dortmund, valencia, chelsea, roma za kipindi hiko angecheza, ina maana hawa woote hawakuona ubora wake, mwishowe akaangukia bolton, Hull City huko.

Kuna kitu okocha alikosa msingi wa mpira, alikuwa fundi saana, ila wakati mwingine alikuwa anafosi mambo haya majanga naona hata kwa wachezaji wetu kina ajibu huku, kila muda anafosi kupiga outer, au ndemla kujipigia mashuti hovyo sababu ndio mashabiki wanaochomsifia! Anapiga auta hata kama sio ya lazima, wakati mwingine anapiteza mpira bure.

Ndio okocha wakati mwingine sehemu ya kuachia moja, atalazimisha kupiga ile chenga yake maarufu ya kutengua mtu nyonga mienapenda kuiita okocha feint! Sehemu ya kufanya kitu chepesi anafosi kufanya makubwa mwishowe anapoteza mpira ama anauwa move ya kwenda kushamubulia, ama anachelewesha mashambulizi. Na hivi alikuwa na nguvu za kupiga miguu yote ndio wakti mwingine anajipigia pigia tu hovyo. Sisemi alikuwa hapatii sometimes alikuwa anapatia na kufanya mazuri.

Tofauti na gaucho, gaucho alikuwa anafanya burudani zake bila kuharibu mipango ya timu, atapiga no look pasi ambayo ni hatari hata wapinzani hawakutegemea kama pasi itapiga huko! Atapiga vibaiskel kwenye motion, ataachi mali kwa wakati wa hatari zaidi langoni mwa mpinzani. Sisemi alikuwa hakosei ni kawaida kukosea kwa mwanadamu yoyote yule.

Kwangu nitasema ronaldinho gaucho.
 
Hahaha chief hata PSG aliyochezea Okocha siyo PSG ya leo.

Okocha alikua anachezea mpira ila uchezeaji wake ulikua hauna mchango katika timu kushinda au yeye kuscore, naamini ndiyo maana timu kubwa hazikuwahi kumtaka kwa sababu walijua ni mchezaji ambaye atapozesha mashambulizi wakati timu inataka ushindi.

Angalia hata highlights zake, unaona kabis timu ipo kwenye movement mpira ukifika kwake unapoa, ukishapoa ananyang'anywa na movement ya goli inakufa.

Binafsi namfananisha Okocha na Allan St Maximin wa New Castle, anapenda kuchezea mpira bila kujua anaiziba timu kushinda. Na hua hawajali kama timu inaongozwa au inahitaji ushindi.

Timu yangu Arsenal ilikua na Iwobi mwenye huu mtindo na sasa hivi ina Pepe.

Gaucho ni bora sana.
 
Hahaa!! Atleast psg kule kwao ilikuwa kubwa kubwa kidogo

Kwangu okocha angecheza futsal kungemfaa zaidi.

Uko sahihi kabisa, ndio nilichojaribu kusema na ndio ninachowaambia watu kila mara kuhusu okocha.
Lau kama angeacha ule uchizi wake basi angekuwa mmoja kati ya wachezaji bora kabisa kuwahi kutokea hapa duniani, alikuwa na akili ya mpira, control safi mguuni, ana nguvu, lakini mbwembwe zilimzidia.
Kuna game moja nigeria vs brazil sijui akili aliziweka wapi, alipiga mpira mwingi mpaka ukawa unamwagika! Wabrazil pale kati ikawa km wamemgwaya vile! Angefanya vile maisha yake yoote basi labda baada ya george opong weah, yeye angekuwa muafrika wa pili kutuchukulia ile tuzo ya mcezaji bora duniani, maana alipiga soka la kiwango cha zidane. Nilikuwa km namuona seedorf vile, Kwa soka lile angepata kukipiga timu kubwa, lakini alikuwa akicheza soka la kimataifa game 1,1 kweli nyingine zoote mashuzi tu.

Wakati mwingine unaweza kusema bora hata maximin wakati mwingine ile mibio yake inaleta jamba jamba kwa wapinzani! Ila huyu mpuuzi iwobi sijui hata arsenal alikuwa anafanya nini! Nilikuwa najiona kabisa hiki anachokifanya yeye uwanajani hata mimi naweza fanaya maradufu! Ni vile tu wengine mpira tuliupa kisogo tukaweka nguvu shuleni, leo tumebaki tunacheza mpira starehe na mazoezi.

Nilianza kupenda arsenal ile ya kina Dennis Bergkamp na sio hizi ndezi za siku hizi.
 
Waafrika huwa tunamtetea okocha sababu ni mwenzetu! Ni kweli inawezekana okocha alikuwa na kipaji zaidi ya ronaldinho lakini alikosa vitu basic ambavyo ndio vilimuangusha!
Hata dinho mwenyewe ashawahi kusema okocha ndio namba 10 aliyokuwa anaipenda zaidi!
Sasa tujiulize zaidi ya psg, kwanini alishindwa kucheza timu kubwa akiwa katika ubora wake, madrid,barcelona,Liverpool,man u, ac milan, Juventus, intermilan, arsenal, Bayern Munich basi hata dortmund, valencia, chelsea, roma za kipindi hiko angecheza, ina maana hawa woote hawakuona ubora wake, mwishowe akaangukia bolton, Hull City huko.

Kuna kitu okocha alikosa msingi wa mpira, alikuwa fundi saana, ila wakati mwingine alikuwa anafosi mambo haya majanga naona hata kwa wachezaji wetu kina ajibu huku, kila muda anafosi kupiga outer, au ndemla kujipigia mashuti hovyo sababu ndio mashabiki wanaochomsifia! Anapiga auta hata kama sio ya lazima, wakati mwingine anapiteza mpira bure.

Ndio okocha wakati mwingine sehemu ya kuachia moja, atalazimisha kupiga ile chenga yake maarufu ya kutengua mtu nyonga mienapenda kuiita okocha feint! Sehemu ya kufanya kitu chepesi anafosi kufanya makubwa mwishowe anapoteza mpira ama anauwa move ya kwenda kushamubulia, ama anachelewesha mashambulizi. Na hivi alikuwa na nguvu za kupiga miguu yote ndio wakti mwingine anajipigia pigia tu hovyo. Sisemi alikuwa hapatii sometimes alikuwa anapatia na kufanya mazuri.

Tofauti na gaucho, gaucho alikuwa anafanya burudani zake bila kuharibu mipango ya timu, atapiga no look pasi ambayo ni hatari hata wapinzani hawakutegemea kama pasi itapiga huko! Atapiga vibaiskel kwenye motion, ataachi mali kwa wakati wa hatari zaidi langoni mwa mpinzani. Sisemi alikuwa hakosei ni kawaida kukosea kwa mwanadamu yoyote yule.

Kwangu nitasema ronaldinho gaucho.
Umeelewa swali lakini?
Nani alikuwa fundi wa kuchezea mpira?

Hapa umechambua kama vile swali limetaka nani alikuwa hatari zaidi kwa wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umechambua vema saana mkuu
 
Umeelewa swali lakini?
Nani alikuwa fundi wa kuchezea mpira?

Hapa umechambua kama vile swali limetaka nani alikuwa hatari zaidi kwa wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugu yangu we umeelewa lakini yaweza ukawa umeelewa nusu,
Jamaa hakumaanisha kuuchezea unakofikiria wewe,
Nilivyomuelewa mimi jamaa alilenga nani alikuwa alikuwa football entertainer kama ndani ya mchezo wa soka mfanowe kama kina neymar, robinho,cr7 kabla hajaamua kuacha mambo hayo na kuwa serious na kufunga tu! Na wachezaji wengi wengi dizaini hiyo.
Entertaining katika soka unafanya likienda na jambo la msingi kwenye soka! Soccer is an entertainment, kufunga goli, kutoa pasi kwa wakati, beli kuzuia vizuri, mbwembwe mbwembwe zile vyote ni starehe tosha kwa washabiki.
Sasa hii starehe ya soka unailetaje!? Ndio swali la msingi.
Huwezi kusimamisha mpira ukapiga kibaiskeli, ukapoteza mpira halafu usifiwe.
Kama ni hivyo angeacha mchezo wa soka akaenda kushindana na kina sean garnier huko.

Labda mleta mada aje aweke swali lake upya.
 
Hahaha chief hata PSG aliyochezea Okocha siyo PSG ya leo.

Okocha alikua anachezea mpira ila uchezeaji wake ulikua hauna mchango katika timu kushinda au yeye kuscore, naamini ndiyo maana timu kubwa hazikuwahi kumtaka kwa sababu walijua ni mchezaji ambaye atapozesha mashambulizi wakati timu inataka ushindi.

Angalia hata highlights zake, unaona kabis timu ipo kwenye movement mpira ukifika kwake unapoa, ukishapoa ananyang'anywa na movement ya goli inakufa.

Binafsi namfananisha Okocha na Allan St Maximin wa New Castle, anapenda kuchezea mpira bila kujua anaiziba timu kushinda. Na hua hawajali kama timu inaongozwa au inahitaji ushindi.

Timu yangu Arsenal ilikua na Iwobi mwenye huu mtindo na sasa hivi ina Pepe.

Gaucho ni bora sana.
Swala Ni Nani alikua anajua kuuchezea Mpira. Sasa kama kuuchezea huko Kuna mchango ama hapana tutajadili siku ingine.
 
Hahaha wewe jamaa unafuatilia mpira?
 
Dinyo was in another LEVEL can’t compare him with OKOCHA. Dinyo was better than Messi and C7 but just because he was black the European/World MEDIA did not give him the RESPECT that he deserved.

Back
Top Bottom