Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Mar 27, 2011 #2 amelaaniwa mtu yule anayemdhihaki mtakatifu huyu
Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,404 Mar 27, 2011 #3 Gang Chomba said: amelaaniwa mtu yule anayemdhihaki mtakatifu huyu Click to expand... Alafu kaka angalia meno walivyo yachonga... dah.. nipashe khabr timu yetu ya itally na euro qualification..?! mimi macho yangu yalikuwa kati ya mexico vs Paraguay . mexico wameshinda magoli ma 3 ya kistadi kweli..
Gang Chomba said: amelaaniwa mtu yule anayemdhihaki mtakatifu huyu Click to expand... Alafu kaka angalia meno walivyo yachonga... dah.. nipashe khabr timu yetu ya itally na euro qualification..?! mimi macho yangu yalikuwa kati ya mexico vs Paraguay . mexico wameshinda magoli ma 3 ya kistadi kweli..
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Mar 27, 2011 #4 ndugu yangu tuko kileleni kwa tofauti ya pointi 6. Sie tutafudhu kucheza euro haina wasiwasi. Ila wiki ijayo ndio moto unawaka ktk Dimba la Sansiro Meazza. Inapigwa Della Madonina
ndugu yangu tuko kileleni kwa tofauti ya pointi 6. Sie tutafudhu kucheza euro haina wasiwasi. Ila wiki ijayo ndio moto unawaka ktk Dimba la Sansiro Meazza. Inapigwa Della Madonina