Ronaldinho Abembeleza Abebwe Londoni 2012

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Yule mchezaji bora wa zamani, Ronaldo De Asis Moreira, ajulikanaye zaidi kwa jina la Ronaldinho Gaucho amesikika akimbembeleza kocha mpya wa Selecao, yaani Brazili, ampe namba katika kikosi cha Olimpiki 2012. Mashabiki wa mkongwe huyo ambaye kiwango chake kimefifia sana, hasa Gang Chomba, walionekana kwenye mahekalu ya Kirumi wakiomba dua maombi hayo yasikike ili walau wamuone kinara huyo aliyekwisha kabla hajastaafu. Kwa taarifa zaidi tembelea: Brazil's Ronaldinho targeting Olympics - ESPN Soccernet
 
Anaweza kuitwa ili awaage rasmi wapenzi wake.

Dinho hatosahulika kamwe.
 
kama lampard na gerald bdo wanacheza kwanini isiwe ronadinho,hadi beckham na walcot bdo wanacheza.achenì unazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…