Ronaldinho kufunga ndoa na wapenzi wake wawili

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,921
Reaction score
4,858
Ronaldinho gaucho mchezaji nguli WA Brazil aliyetwaa makombe karibu yote kama sio yote ya mpira WA miguu duniani anatarajia kufunga ndoa na wapenzi wake wawili anaoishi nao kwa kipindi kirefu.
Ronaldinho huwanunua zawadi zinazofanana na kuwapa posho ya $2000 kila mmoja
 

Huyu sasa ndiyo Mwanamume na tuliobaki ni Wavulana watupu!
 

Weka akiba ya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…