Ronaldo aendelee kusugua benchi, Aaache kizazi kipya kifanye maajabu, kumlazimisha acheze ni kupunguza uwezo wa timu

Ronaldo aendelee kusugua benchi, Aaache kizazi kipya kifanye maajabu, kumlazimisha acheze ni kupunguza uwezo wa timu

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Nina uhakika kwamba Vijana wa ureno wapo moto sana, waachwe waendelee kupewa nafasi kwa hakika Ureno inaweza kufika hata fainali.

Ronaldo akae bench, Fullstop, hana jipya dimbani

Tatizo linapokuja ni kwamba fans wa Ronaldo wanachukia wakiona Timu inashinda huku Ronaldo kasugua benchi 🙂 🙂
 
Nje ya mada kidogo
Demu wa Ronaldo , yule mtoto georgina ni mkali sana.
Tutafute hela wakuu, japo hatujui tutapata wapi
 
Kiukweli kwa sasa Ronaldo anachezea jina tu. Uwanjani hana maajabu tena. Na huu ndiyo ukweli mchungu kwake.
 
Back
Top Bottom