Thursday, July 24, 2008
View attachment 1838
California dreaming:Cristiano Ronaldo akijioka kwenye jua mpaka kuwa unconscious.
Kijana huyu mwenye umri wa miaka 23 amepachikwa jina la 'Crisp-tan Brown-aldo' amekuwa akifaidi vacation mjini Los Angeles.
Amekuwa akifanya ziara katika fukwe mbalimbali duniani kama vile kule Sardinia, Italy, na California.
Ngozi ya Ronaldo inatisha.