Ronaldo alipimwa dawa za kuongeza nguvu baada ya kutupia hat trick

Na wanamhusisha na masonic,ivi ni kweli? Kwasababu niliona habari zake sehemu flan flan
 
Hata Ozil mechi ya juzi na Spurs nayeye alipimwa. Nadhan ni utaratibu tu wanachagua randomly kujiridhisha mara kwa mara ili wachezaji wasije bweteka kujua wako salama kutumia madawa kuongeza nguvu.
 

Basi atakuwa ametumia Madawa kwa magoli yote hayo mmh

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…