Ronaldo anamtafuta mzee aliyetokwa machozi huku akitaja jina lake

Ronaldo anamtafuta mzee aliyetokwa machozi huku akitaja jina lake

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Cristiano Ronaldo, nyota wa Al-Nassr, anamtafuta mzee mmoja aliyeonekana katika video akimtaja kwa hisia, huku akitokwa na machozi.

Katika video hiyo aliyo-post kwenye mtandao wa X (Twitter), Ronaldo ameomba kwa yeyote anayemfahamu mzee huyo amsaidie kumkutanisha naye.
IMG_0362.jpeg

Mzee huyo alionekana akiimba jina la Ronaldo kwa hisia kubwa, leo Oktoba 25 kwenye sare ya bao 3-3 dhidi ya Al-Holud, jambo lililomgusa mchezaji huyo maarufu na ku-post hivi

Cristiano Ronaldo, nyota wa Al-Nassr, anamtafuta mzee mmoja aliyeonekana katika video akimtaja kwa hisia, huku akitokwa na machozi.

Katika video hiyo aliyo-post kwenye mtandao wa X (Twitter), Ronaldo ameomba kwa yeyote anayemfahamu mzee huyo amsaidie kumkutanisha naye.View attachment 3135240
Mzee huyo alionekana akiimba jina la Ronaldo kwa hisia kubwa, leo Oktoba 25 kwenye sare ya bao 3-3 dhidi ya Al-Holud, jambo lililomgusa mchezaji huyo maarufu na ku-post hivi

View attachment 3135241
Mzee kishatoboa.
 
Mwarabu akiamua kukuektia kitu lazima uingie king hawana tofauti na wazaramo
 
Back
Top Bottom