Ronaldo anamtafuta mzee aliyetokwa machozi huku akitaja jina lake

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Cristiano Ronaldo, nyota wa Al-Nassr, anamtafuta mzee mmoja aliyeonekana katika video akimtaja kwa hisia, huku akitokwa na machozi.

Katika video hiyo aliyo-post kwenye mtandao wa X (Twitter), Ronaldo ameomba kwa yeyote anayemfahamu mzee huyo amsaidie kumkutanisha naye.
Mzee huyo alionekana akiimba jina la Ronaldo kwa hisia kubwa, leo Oktoba 25 kwenye sare ya bao 3-3 dhidi ya Al-Holud, jambo lililomgusa mchezaji huyo maarufu na ku-post hivi

Your browser is not able to display this video.
 
Mzee kishatoboa.
 
Mwarabu akiamua kukuektia kitu lazima uingie king hawana tofauti na wazaramo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…