Mtatapa tapa sana msimu huu Madrid dogs1-0? ndio kipigo cha kitakatifu??
[HASHTAG]#HallaMadrid[/HASHTAG]
sawaMtatapa tapa sana msimu huu Madrid dogs
Tena sio kuloose tu, wameloose wakiwa nyumban na kikos wanachokiita boraPovu litakuja kutoka hapaa balaa eti wanaloose kwa real Betis
Kawaida tu hiyo mkuu...tena goli moja tu..ingekuwa 3,4 au 5 ndio ungesema kitakatifuJoseverest KUFUNGWA NYUMBANI TENA NA REAL BETIS NI KIPGO KTAKATFU
Kikubwa ni kupoteza point 3 na mmepotezaKawaida tu hiyo mkuu...tena goli moja tu..ingekuwa 3,4 au 5 ndio ungesema kitakatifu
sawaKikubwa ni kupoteza point 3 na mmepoteza