Ronaldo atakuwa mbele ya TV kufuatilia mtanange wa Simba vs Al Ahly

Sultan MackJoe Khalifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2022
Posts
6,782
Reaction score
14,148
images (2).jpeg
Achana na matokoe ya uwanjani yatakuwaje, kitendo cha Uzinduzi wa Michuano mikubwa Africa kufanyika Tanzania na Simba timu kubwa Afrika Mashariki kuwemo ni ushindi tosha kwa Simba na Tanzania kwa ujumla.

Sababu hii mechi ni moja kati ya mechi chache Duniani itakayofatiliwa na watu wengi zaidi ulimwenguni.

Mungu ibariki Simba na Ihefu mbogo maji.
 
FB_IMG_1697704408869.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2786301Achana na matokoe ya uwanjani yatakuwaje, kitendo cha Uzinduzi wa Michuano mikubwa Africa kufanyika Tanzania na Simba timu kubwa Afrika Mashariki kuwemo ni ushindi tosha kwa Simba na Tanzania kwa ujumla.

Sababu hii mechi ni moja kati ya mechi chache Duniani itakayofatiliwa na watu wengi zaidi ulimwenguni.

Mungu ibariki Simba na Ihefu mbogo maji.
Sir Elton John nae atakuwepo mbele ya luninga yake akiangalia huu mtanange wa majamaa zake...ITAKUWA KABAMBE
 
View attachment 2786301Achana na matokoe ya uwanjani yatakuwaje, kitendo cha Uzinduzi wa Michuano mikubwa Africa kufanyika Tanzania na Simba timu kubwa Afrika Mashariki kuwemo ni ushindi tosha kwa Simba na Tanzania kwa ujumla.

Sababu hii mechi ni moja kati ya mechi chache Duniani itakayofatiliwa na watu wengi zaidi ulimwenguni.

Mungu ibariki Simba na Ihefu mbogo maji.
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hapo kwenye bold, umeanza kwa kujitetea..!!
 
Back
Top Bottom