Uko sahihi mkuu, kabla Ronaldo hajajiunga na juventus social media za juventus zilikuwa kawaida sana, wakati Ronaldo anaenda juve instagram walikuwa na followers 9mil leo hii Wana 45mil, Facebook wameongozeka watu 8mil, YouTube account wameongozeka watu 3m, na yeye ndio kafanya ligi ya italia kupanda thamani so ata haki za matangazo bei imepanda, hivo kaongeza thamani ya ligiHapo napata picha CR7 ni brand kubwa kuliko Juventus.
yani Ronaldo anaibeba Juve.
Sikuhizi hata nikikosa kuangalia El-classico sishtukiLigi ya Spain kwa sasa imepoteza ladha kabisa kwa sababu mzee baba cr7 hayupo
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app