BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 779
- 1,269
- Thread starter
-
- #21
Mbona Pele bingwa hajawai kucheza nje ya Brazil acha kukariri store za vijiweniOkay proffesor, kumbe assist 219 ni chache
Kumbe magoli 672 ni mengi kuliko 700
Ungesoma na kuelewa nilichoandika usingekuja na hii taarabu yako [emoji41][emoji41]
Messi, one team player. Never prove himself outside Barca
Unaweza kusema takwimu za goal per match zinambeba Messi
Lakini je, kucheza mechi nyingi katika kiwango cha juu, hiyo pekee sio sifa ya ziada? Je Messi anaweza kucheza kwa kiwango cha Dunia atakapokuwa ana miaka 34 kama anavyofanya mnyama CR700 kwa sasa?
Hilo swali la juu wote hatuwezi kulijibu, kwa kuwa sisi sio wapiga ramli, Hivyo Messi anaweza asifikishe hata hayo 680,kwa kuwa bado hajafikisha.
Messi kuwa na magoli mengi kwa sehemu kubwa amebebwa na probably the best ever group of players ambao Messi amecheza nao pale Barca....... Xavier, Iniesta, Bosquet, Puyol, Ronaldinho & Co.
Je Ronaldo angekuwa kwenye set up ya Barca ile angefunga magoli mangapi? Je Messi angekuwa kwenye set up ya Madrid angeweza hata kufikisha nusu ya magoli ya CR7? Wote ni mashahidi, tunaona anapotoka nje ya Barca (National team) anavyo struggle kuwapa makombe
Kitu pekee Messi anachomshinda Ronaldo ni his dribbling style (ni ya kipekee)
Vitu vingine vyote vilivyobaki, mnyama CR700 amemzidi
Unaweza kusema takwimu za goal per match zinambeba Messi
Lakini je, kucheza mechi nyingi katika kiwango cha juu, hiyo pekee sio sifa ya ziada? Je Messi anaweza kucheza kwa kiwango cha Dunia atakapokuwa ana miaka 34 kama anavyofanya mnyama CR700 kwa sasa?
Hilo swali la juu wote hatuwezi kulijibu, kwa kuwa sisi sio wapiga ramli, Hivyo Messi anaweza asifikishe hata hayo 680,kwa kuwa bado hajafikisha.
Messi kuwa na magoli mengi kwa sehemu kubwa amebebwa na probably the best ever group of players ambao Messi amecheza nao pale Barca....... Xavier, Iniesta, Bosquet, Puyol, Ronaldinho & Co.
Je Ronaldo angekuwa kwenye set up ya Barca ile angefunga magoli mangapi? Je Messi angekuwa kwenye set up ya Madrid angeweza hata kufikisha nusu ya magoli ya CR7? Wote ni mashahidi, tunaona anapotoka nje ya Barca (National team) anavyo struggle kuwapa makombe
Mbona Pele bingwa hajawai kucheza nje ya Brazil acha kukariri store za vijiweni
Sjheria hiyp haipo maradona kacheza nje ya Argentina ?
Na hao ndio mabingwa wa mabi gwa wa kabumbu.
Hayo ni mawazo tu ya wadau wa mpira sio sheria jombaa.
Huyo jamaa yenu naona kaacha zile chenga za kukanyaga baiskeli.
Mezsi angekuwa mchoyo kama jamaa yenu anaetaka kucheza mpaka miaka 40 angeshazidi magoli. Miaka imegota Cr
Halafu inabidi ujue kwa nìni Cr anashindanishwa ma Messi na wala sio Samatta au labda mchezajo xxxx. Hiyo tosha kwamba Messi nae yupo
Anyway mi sio wa kuabuxu mtu Mungu kama wewe mi mdau wa kabumbu.
Kama nn, kufanya ngono na makahaba au?
Kama siyo mchoyo utafungaje sasa mkuu? Cr7 hapo ana assists 219 bado unaona ni ndogoRonaldo: 700 goals and 219 ASSISTS in 974 appearances
Messi: 672 goals and 274 ASSISTS in 828 appearances
Messi anatoa assist nyingi zaidi kuwapaisha wenzake. Huyo Cr moja ya sifa zake ni uchoyo wa pasi karibu na goli.
Namba haziongopi.
Hivi Luca Modric ni mchezaji mbaya? Angel di maria ni mchezaji mbaya? Mesut Ozil ni mchezaji mbaya? Gareth Bale ni mchezaji mbaya? Marcelo ni mchezaji mbaya? Sergio Ramos ni mchezaji mbaya? Toni Kroos ni mchezaji mbaya? Karim Benzema ni mchezaji mbaya? Casemiro ni mchezaji mbaya? Dah orodha ni kubwa sana, Yes Ronaldo ni mchezaji mzuri sana ila kusema kuwa Messi alibebwa na ubora wa Xavi na Iniesta na huku tukikataa kuwa Ronaldo kabebwa na ubora wa Ozil au Bale ni unafiki mkubwa sana.
Hii hoja yako ni mufilisi kabisa na ni sawa na hoja yako hiyo nyingine kuwa Messi kacheza Team moja so hawezi kuwa mchezaji mzuri, Swali kwako, kati ya Etoo na Ronaldo nani kacheza ligi nyingi? Au kati ya Ronaldo na Anelka nani kacheza Nchi nyingi?? Je kucheza kwake Anelka kwa Nchi nyingi ni kipimo cha ubora wake kuliko Ronaldo?
Je kwa kigezo chako hicho unataka kutuambia kuwa Pele sio mchezaji bora? Maana kacheza Santos pekee kule kwao Brazil.
Ubora wa mchezaji kwa maoni yangu na ufahamu wangu haupimwi kwa kubeba makombe mengi au kucheza ligi nyingi bali ni perfomance ya kwa pitch, unaweza kubeba makombe mengi huku ukiwa mtu wa sub tu au kucheza team nyingi kwa utovu wa nidhamu.
Hawa jamaa wawili wakistaafu ndio tutajua nani ni best, kama tulivyoona happ kwenye takwimu kuwa Ronaldo kamzidi Messi mechi 145 na tofauti ya magoli ni 28, naamini muda utaongea.
HEBU TUANGALIE REKODI ZA MESSI JA RONALDO TOKA MWAKA 2009- 2018.
HAPO NDIPO UTAJUA KAMA RONALDO ANGEANZA KUCHEZA LA LIGA TOKA MUDA KWA TIMU YA KARIBA YA BARCELONA AU REAL MADRID,ANGEKUA NA MAGOLI MENGI MNOO
HIZO MECHI WANAANZIA KUHESABU TOKA ENZI ZA SPORTING SP, WAKATI HUKU MESSI ANACHEZA TIMU BORA ZAIDI YA BARCELONA YENYE,RONALDINHO,ETOO,DECO,XAVI,INIESTA,NA PUYOL.
TUACHE UJINGA RONALDO ANGEFANYA MAKUBWA ZAIDI YA MESSI,KAMA ANGEKUWA YEYE PALE BARCELONA.View attachment 1235649
Kama siyo mchoyo utafungaje sasa mkuu? Cr7 hapo ana assists 219 bado unaona ni ndogo
Yani mimi hata siwaelewi,kwa maana hata kuna baadhi ya viungo bora duniani hawana hizo assists lakini mtu anakuambia ronaldo mchoyo!Kama siyo mchoyo utafungaje sasa mkuu? Cr7 hapo ana assists 219 bado unaona ni ndogo
Hapo ni jumla ya magoli na mechi walizocheza toka 2009-2018,unamkubali nani hapo?973 /700 = 1.39
828 / 672 = 1. 23
Kwangu mesi yuko juu
Tunamuita cr7 brazaJamaa anaendelea kutupia tu
Nje ya Barca sio lazima iwe club nyingine, kuna timu ya Taifa, unawalinganishaje Messi wa Barca na Messi wa Argentina??wana makali sawa kwa maoni yako?Mkuu Messi atoke Barca aende wapi?