Ronaldo atorokea Morocco Tena

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258

Safari za Cristiano Ronaldo kwenda Morocco zilimletea skendo kubwa kipindi kilichopita licha ya yeye mwenyewe kupotezea huo uvumi.

Hivi sasa kuhusu Ronaldo imeripotiwa kwamba ameenda tena Morocco bila club kuwa na taarifa. Mbaya zaidi Ronaldo hakutaka kuficha kwasababu ali post picha ambayo inaonyesha mazingira ya Morocco akiwa na alcohol mezani.

Gazeti moja la Spain limesema kwamba Rais wa Real Madrid huwa hafurahishwi na safari za Ronaldo kwenda Morocco bila club kuwa na taarifa. Gazeti hilo limeendelea kutoa taarifa kwamba Perez anataka kupewa taarifa kila Ronaldo anavyosafiri kwenda Morocco bila taarifa.

CR7 huwa anasafiri ghafla kwenda Morocco kwasababu anamiliki ndege yake binafsi inayomfanya asafiri muda wowote anaotaka.Safari ndefu kati kati ya msimu kama sasa hivi mara nyingi zinahitaji ruhusa maalum kutoka kwenye uongozi wa club.
 
...khaaaa..!! sitaki kuamini...
 
CR7 huwa anasafiri ghafla kwenda Morocco kwasababu anamiliki ndege yake binafsi inayomfanya asafiri muda wowote anaotaka.Safari ndefu kati kati ya msimu kama sasa hivi mara nyingi zinahitaji ruhusa maalum kutoka kwenye uongozi wa club.
 
dah ni kiwango kimeenda kuongezwa ama kupunguzwa!......tafakuri
 
Mmh hagegenwi huyo
 
acheni kumzushia mtu kila siku, mbona goal.com hawajaandika huo upumbavu wenu???? labda ndugu zenu ndo homosexual. mnafaidika na nini kuwazushia mastar???? u'r a moron Nigga.
 
Doh!
 
Tuache kua wazushi pia chuki na ushabiki wenu wa kijinga wa barca usiwafanye muwe mnatoa matusi na ziaka kwa wengine jamaa kafungua hotel Morocco lkn nyie mnatunga upuuzi
 
sasa unachobisha ni kip au wewe ndio meneja wa hyo bar AU KWA NAMNA nyingine habar imekugusa[emoji12]
 
Dah,siamini kama jamaa anakunjwa saba na vidume.
 
acheni kumzushia mtu kila siku, mbona goal.com hawajaandika huo upumbavu wenu???? labda ndugu zenu ndo homosexual. mnafaidika na nini kuwazushia mastar???? u'r a moron Nigga.
Umepanic bro![emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…