Ronaldo atupwa nje kwenye kikosi cha FIFA, anacheza ligi dhaifu duniani

Ronaldo atupwa nje kwenye kikosi cha FIFA, anacheza ligi dhaifu duniani

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Kutokupangwa Christian Ronaldo kwenye kikosi bora cha FIFA ipo wazi kwenda kucheza ligi dhaifu sana.

Haiwezekani mchezaji bora awe kwenye timu za kiarabu hakuna soka uarabuni bado sana

USSR

FB_IMG_1677561729660.jpg
 
Kutokupangwa Christian Ronaldo kwenye kikosi bora cha FIFA ipo wazi kwenda kucheza ligi dhaifu sana .

Haiwezekani mchezaji bora awe kwenye timu za kiarabu hakuna soka uarabuni bado sana

USSR View attachment 2532263
Hiyo team ukimpa Graham Potter atahitaji kama mwaka ili ipate ushindi. Yule kocha hana uwezo wa mbinu za mpira.
 
hivi vikosi wanavyotoa hata aibu wanakosa, Unawekaji Center Back mmoja? siku zote kazi zao kujaza ma foward, huko mbeleni hata hao mabeki hawatakuwepo tena.
 
hivi vikosi wanavyotoa hata aibu wanakosa, Unawekaji Center Back mmoja? siku zote kazi zao kujaza ma foward, huko mbeleni hata hao mabeki hawatakuwepo tena.
Hahahaha umewaza kama mimi,sasa kama timu inashambuliwa hapo hicho kikosi si kinafungwa hata na bamako
 
Back
Top Bottom