Hiyo team ukimpa Graham Potter atahitaji kama mwaka ili ipate ushindi. Yule kocha hana uwezo wa mbinu za mpira.Kutokupangwa Christian Ronaldo kwenye kikosi bora cha FIFA ipo wazi kwenda kucheza ligi dhaifu sana .
Haiwezekani mchezaji bora awe kwenye timu za kiarabu hakuna soka uarabuni bado sana
USSR View attachment 2532263
Duh unampenda sana ronaldo weweSio kwamba sio bora bali kuna watu wanarza kufit nafasi yake kama Halaand na Mbappe
Saudi ligi sio mbovu kama ingekua mbovu isingekua inatrend
At the end is how much you earn n reputation to which the guy has it all, the GOAT
😍
Nashangaa hata mim, coz Karim Benzema hakucheza hii world CupKwani vigezo vya kikosi ni kujulikana au kiwango na ubora?
Hahahaha umewaza kama mimi,sasa kama timu inashambuliwa hapo hicho kikosi si kinafungwa hata na bamakohivi vikosi wanavyotoa hata aibu wanakosa, Unawekaji Center Back mmoja? siku zote kazi zao kujaza ma foward, huko mbeleni hata hao mabeki hawatakuwepo tena.
Kutokupangwa Christian Ronaldo kwenye kikosi bora cha FIFA ipo wazi kwenda kucheza ligi dhaifu sana .
Haiwezekani mchezaji bora awe kwenye timu za kiarabu hakuna soka uarabuni bado sana
USSR View attachment 2532263
Kumetokea nini Mjumbe wa Kamati kuu umetupwa jela?Kutokupangwa Christian Ronaldo kwenye kikosi bora cha FIFA ipo wazi kwenda kucheza ligi dhaifu sana .
Haiwezekani mchezaji bora awe kwenye timu za kiarabu hakuna soka uarabuni bado sana
USSR View attachment 2532263