Ronaldo: Barca inabebwa

SIPENDI SOKA LA TIMU KUBEBWA NDANI YA PITCH.
Mfano wake ni Barca.
 
kwa uelewa wangu mimi.....!

huyo messi huyo pamoja na kwamba yupo kwenye kiwango chake cha juu sana...na pamoja na kuibeba barsa MABEGANI na kuwapa raha wakatalunya.....!MESSI HAJAFIKIA KABISA KIWANGO CHA JUU CHA GAUCHO....!messi hajafikia kiwango cha juu cha ufungaji kama cha etoo wakati yupo hapo CATALANS...!


barsa ya sasa hivi inabebwa
 

Kula tano mkuu.
 

umenikuna,
 
 

Messi ana miaka 23 sasa, wakati Ronnie akiwa umri huo alikuwaje? Fuatilia ili ujiridhishe.

CR 7 amechanganyikiwa sababu katika Head to Head na Messi bado yupo chini.

Eto'o ni mshambuliaji mahili na hata Barca wamemuweka katika list ya wa wakali kuwahi kutokea pale na hilo ni doa kwa Pep, lakini katika record ya kufunga Messi yupo juu ya Eto'o.

Kwa washabiki wa Jose mtasema yote kuhusu kubebwa kwa vile Jose ana Nguvu ya kusikilizwa kuliko Arsene(Wenger) na ndo maana kelele za Jose zimepata waungaji mkono wengi.
 
Hehehehe...haya bana..

Ukiangalia sana wanaochonga sana Real Madrid ni wareno Maurinho na C Ronaldo. Wanachonga sana hawa....Ingekuwa soka ni kuchonga, Ureno ingetawala soka la Dunia.
Halafu huyu CR alizoea kubebwa alipokuwa Man U, Spain ma-star ni wengi hawezi pata upendeleo aliokuwa anapata England nadhani inamuuma.
 
Ronaldo Rudi England MU ufurahie ladha ya kubebwa bebwa.

Anasahu alivyokuwa anajidondosha dondosha. Amekutana na wasanii zadi yake ndo anagundua u

Barcelona Soka wako juu na wakiamua usanii kama wa kukutafuta kad wachezaji pinzani wanaweza.
Sasa ukijumlisha hayo mawili
 
Dah mkuu hapo mwisho kwenye bracket... Mbona kule kwenye sredi letu haupatikani kabisa mkuu?!
 
wamezidi mno kujiangusha
 
hahaha inapendezaa,, barca ni the best team at da moment no doubt about dat,,,, so haters just live wit it
 
Katika fikra zenu potofu nakutojua kujua zuri na baya ndio maana mnasema barca inabebwa! unajua watanzania wengi atuendelei kutokana 2nauficha ukwel. Barca is the world classic club hakuna club yeyote inayoipiku nafasi hiyo achen chuki na mjungu yasio faa ongen ukwel wa soka sio majungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…