Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Cristiano Ronaldo added to his highlight reel with a leap out of the NBA playbook and a stunning header that helped Juventus sink Sampdoria.
Cristiano Ronaldo amefunga bao la aina yake baada ya kuruka kwa umbali wa mita 2.6 kwenda juu katika mchezo ambao Juventus ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Samdoria. Bao hio la Ronaldo limekuwa gumzo duniani kote kutokana na uwezo wa kuruka juu na kufikia mpira.