Ronaldo delighted with 'NBA style' winner

Pele mashine tofautisha zama alizocheza na za Leo pia hakuchezs ulaya hivyo angepataje balondor?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila zama na kitabu chake, kama mtu kafanya jambo leo liheshimike leo, sio mtu anaanza oooh zamani tayari ilishafanyika. Kama walishafanya zamani leo mpir unachezewa nn? Ni vizuri kufurahia kila zama na mambo yake.

Kosa analofanya jamaa kumfananisha Pele na hawa wa kizazi cha Leo kisa balondor ambazo wanapewa wachezaji wa ulaya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2019-12-20-22-39-24.jpeg
    16.4 KB · Views: 2
Safi sana...Jamaa atajituma saaaaaana..
 
Nimekuja faster kusoma comment yako nikijua nitakuta umeandikwa kwamba hii ilishatabiriwa kwenye kile kitabu na yule...
Nafurahi kuona kumbe mtu mzima mwenzangu pia ni mfuatiliaji wa soka.
 
2020/2021

1st goal. Cr7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…