Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
At least according to you! where have you left the likes of Pele, Maradona, Beckham, Messi, Villa, Tores, thiery Henry, Frank Lampard, Wayne Rooney, etc.
Stop being biased you sports ignorant
Sidhani kama Buji yupo biased, labda hujaelewa kuwa anachomaanisha yeye ni kwamba wachezaji hao wenye majina ya RONALDO wamefanya mambo makubwa sana kwenye ulimwengu wa soka lakini si kwamba wachezaji wengine hawatambui ukiangalia theme ya thread hii ni wingi wa jina Ronaldo na umahiri wa kusakata soka.
Asante kwa kutoa ufafanuzi mzuri, jamaa hakunielewa nlichokimaanisha.
Sidhani kama Buji yupo biased, labda hujaelewa kuwa anachomaanisha yeye ni kwamba wachezaji hao wenye majina ya RONALDO wamefanya mambo makubwa sana kwenye ulimwengu wa soka lakini si kwamba wachezaji wengine hawatambui ukiangalia theme ya thread hii ni wingi wa jina Ronaldo na umahiri wa kusakata soka.
At least according to you! where have you left the likes of Pele, Maradona, Beckham, Messi, Villa, Tores, thiery Henry, Frank Lampard, Wayne Rooney, etc.
Stop being biased you sports ignorant
Wachezaji hawa hamna ubishi kuwa wametoka kwenye mbingu ya soka.
Waliposhushwa duniani wameleta ladha ya ajabu.
Ukibisha utakuwa na matatizo
Ronaldo Luís Nazário de Lima =
Ronaldo de Assis Moreirra = RONALDINHO
Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro