Ronaldo kanyanyua kaweka kombe mfukoni huko Uarabuni

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
CR7 kuonyesha kuwa aliwapania Al Hilal kwenye Michuano ya King Salman Clubs Cup kawapiga zote mbili mpaka Filimbi ya mwisho Al Nassr wanatawazwa Machampioni.

FT' matokeo katika mchezo huo [emoji116][emoji116]
Al Hilal 1 - 2 Al Nassr
Michael 50' [emoji460]
Ronaldo 74', 98'

 
Hilo haliwezekani, na kesho nastake hela ndefu upande wa Simba SC.
Mwanangu usijaribu kufanya hivyo kwa simba hii ya cf ya Bocco, utaokota makopo muda siyo mrefu.
Simba hii ya 3bn na kocha huyu kimeo, Mungu akiwa upande wao watafungwa si chini ya bao 3-0
 
Hilo bango linasema uongo, liondowe. Ronaldo hayupo "Falme za Kiarabu". Ronaldo yupo Saudi Arabia.

Falme za Kiarabu ni United Arab Emirates (UAE).

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…