Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Ajifunze kufurahia alichokipata maana ndo kilichopo.Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup.
“Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo
Hakika.Ajifunze kufurahia alichokipata maana ndo kilichopo.
Akifanikiwa kuwa na furaha ya kweli kwa mafanikio aliyoyapata watakao teseka ni wale wanaopoteza muda kutaka aumie.
Ila kama anafurahia kinafiki kujifanya haimuumizi kumbe anaumia ni mbaya kwa afya yake ya akili.
Mechi ya jana, CR7 angeingia sec half kuanzia dakika ya 70 huenda ingebadili kitu. Haya mashindano alipaswa kuwa mhamasishaji zaidi ya mshambuliaji tegemeo.Sizitaki mbichi hizi !.
Huyo Mbuzi mwitu wenu akubali amechoka.....akipangwa kwenye lineup ni sawa na Portugal wapo pungufu! Amekuwa mviziaji kwenye box tu afunge....
Ameshastaafu bila shakaSizitaki mbichi hizi !.
Huyo Mbuzi mwitu wenu akubali amechoka.....akipangwa kwenye lineup ni sawa na Portugal wapo pungufu! Amekuwa mviziaji kwenye box tu afunge....
Naona aliaga.Ameshastaafu bila shaka
Hataki kukubali kwamba amekosa taji muhimu zaidi kwenye football.Jamaa mbishi kwelikweli
Ajitahidi kuleta taswira ya it's not about Ronaldo, it's about portugal. Akifanikiwa hili, siku Portugal inabeba kombe itaimba jina lake huku yeye kastaafu muda.Jamaa mbishi kwelikweli
Sasa kwa nini huwa analia anapotolewa?Hataki kukubali kwamba amekosa taji muhimu zaidi kwenye football.
Ajitahidi lini tena na tayari ameshatoka?Ajitahidi kuleta taswira ya it's not about Ronaldo, it's about portugal. Akifanikiwa hili, siku Portugal inabeba kombe itaimba jina lake huku yeye kastaafu muda.
Ndo hii mentality hatakiwi kua nayo.Ajitahidi lini tena na tayari ameshatoka?
Unamaanisha jioni ya leo wakati CR7 na familia yake wanahuzunika wakiwa ndani ya private jet wakienda kupumzika kwenye hotel ya kifahari kuna anayemcheka huku ana constipation sababu alishindia mihogo yenye pilipili?CR7 aendelee na maisha yake.Sisi akina kaflambute,omba masikini tunaohangaika kumfananisha na hatumsaidii kitu chochote tutulize viuno na kuacha nongwa.
Hilo si la kuuliza ndiyo akili za wala mihogo zilivyo.Mimi namuona CR7 ni mtu aliyeshinda mengi maishani.Hakuna wa kumtishia nyau.That's it!Unamaanisha jioni ya leo wakati CR7 na familia yake wanahuzunika wakiwa ndani ya private jet wakienda kupumzika kwenye hotel ya kifahari kuna anayemcheka huku ana constipation sababu alishindia mihogo yenye pilipili?
Kuna mtu ukute mwaka huu anajisikia katimiza malengo yake sababu Cr7 hajabeba world cup. Na ana furaha kweli.Hilo si la kuuliza ndiyo akili za wala mihogo zilivyo.Mimi namuona CR7 ni mtu aliyeshinda mengi maishani.Hakuna wa kumtishia nyau.That's it!
Akawe kocha sasaNdo hii mentality hatakiwi kua nayo.
Si lazima acheze ndo port ibebe kombe la dunia.
Anaweza kuleta hamasa, anaweza kutoa suport kwa vijana, anaweza kufund, ana njia nyingi sana za kulisaidia taifa lake kubeba kombe la dunia na historia ya port ikamkumbuka.