Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Ni aina ya vichaa wasafi aka machizi fresh!Anavizia mtu akosee ili afurahie.Kuna mtu ukute mwaka huu anajisikia katimiza malengo yake sababu Cr7 hajabeba world cup. Na ana furaha kweli.
Hata akiwa kocha hamtakosa neno.Na akiamua ale matunda ya jasho lake hamtakosa nongwa mbichi kumuelekezea.Akawe kocha sasa
Au mdau muhimu wa hamasa.Akawe kocha sasa
Maneno ya mkosajiBaada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup.
“Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo
Sasa,alilie kumiliki dunia yote ambayo amekwama wakati ameshajaaliwa kijiji?Maneno ya mkosaji
Kwani maneno gani mabaya anasemewa zaidi ya yale ya ushabiki wa mpira?Hata akiwa kocha hamtakosa neno.Na akiamua ale matunda ya jasho lake hamtakosa nongwa mbichi kumuelekezea.
Unawajua washabiki na maneno yao kweli?Asilimia 95 ya maneno ya washabiki huwa wanatoa ya moyoni na kulenga/kutamani iwe ukweli na itokee.Kwani maneno gani mabaya anasemewa zaidi ya yale ya ushabiki wa mpira?
Na ndiyo ushabiki wa mpira au wewe unafikiri mashabiki wa Simba wakishangilia kufilisika kwa Yanga wanakuwa wanaigiza na furaha haitoki moyoni?Unawajua washabiki na maneno yao kweli?Asilimia 95 ya maneno ya washabiki huwa wanatoa ya moyoni na kulenga/kutamani iwe ukweli na itokee.
Umeuliza swali au umeimarisha nilichokomenti?Na ndiyo ushabiki wa mpira au wewe unafikiri mashabiki wa Simba wakishangilia kufilisika kwa Yanga wanakuwa wanaigiza na furaha haitoki moyoni?
Nafikiri alama ya kuuliza umeionaUmeuliza swali au umeimarisha nilichokomenti?
Ukiifuta inapendeza sana.Nafikiri alama ya kuuliza umeiona
Basi wewe ni mgeni kwenye michezoUkiifuta inapendeza sana.
Usiniambie mkuu!?Nifanyeje ili niwe mwenyeji na miaka ya kufa i-karibu!Basi wewe ni mgeni kwenye michezo
😜😜😜😜Yeye ndivyo anavyojisikia.Hayo mengine ishi nayo kispoti tu.Matakro kwamba Euro ikafanane na Kombe Dunia..akili hana huyo.Euro ni Muunganiko nji zao ambayo moja imetoa jana.
Hukua amekuja mpaka Morocco..Ghana..tulienda kufanya nini..
Mpuuzi mkubwa kabisa .wameshindwa na ameshindwa..atulize kende zake amalize mambo yake.
Wasidogeshe mashindano haya kwa wengine kisa kufail kwao.
Vijana kama kina Mbape,Haaland..Yamal..Ayyoub..na wengine kibao wanataka kuweka historia kupitia hilo jambo.
KUFAIL kwako asifanye wengine waonekana si bora
Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup.
“Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo
Si yeye akemewe na sisi tunakemea tabia chafu..😜😜😜😜Yeye ndivyo anavyojisikia.Hayo mengine ishi nayo kispoti tu.