Hata Messi migoli mingi anavizia tu rejea lile goli la kwanza alilofunga dhidi ya Cabe Verde, ila leo Misri wataoga magoli ya kutosha hii gemu sipangi kukosa kuiangalia kabisa
πππ Huyu wa manzese au sio ??
πKwa hiyo machozi yake yamemwagika kila bara?
Tupo hapa kwaajili ya kumsema kuwa ni fake hahaa hakuna mbuzi type ile ,Cha kushangaza,Ronaldo ameshatoka world cup lakini nyuzi zake humu jukwaani ni nyingii sanaa aisee..
Kweli mbuzi ni mbuzi tu..
Yani leo badala muongelee maandamano yenu uchwara ni Ronaldo tu kila kona ya nchi..
Mkuu hoja ni kuwa, unayeshindia mihogo usijisikie umetimiza malengo kwa kumuona CR7 analilia world cup.Cr7 ni tajiri ila jana alikua analia,
Ukipata jibu kwanini alikua analia wakati yeye tayari ni tajiri,utakuja kufuta hii comment yako.
Mbuzi wa manzese.Messi anavizia !? Aisee nenda kameze dawa zako usije kung'ata watu humu
πππ Huyu wa manzese au sio ??
Ila watu πππ
Anajifariji GOAT wa kuvundika.Na bado hilo kombe analolilia analifananisha na Euro tu.
Ni emotion za mechi hizo, umekandwa kwenye mechi muhimu utaumia tu.πππ Kwahiyo Jana alikuwa ana Lia kwanini !? Kama kuipa team yake kombe la Euro ni sawa na WC so Why he was cry like a fool !?
Huyu jamaa bhana anapenda sana stunt Mtu ukishindwa kubali tu
Kuna kitu hapa hukielewi,Mkuu hoja ni kuwa, unayeshindia mihogo usijisikie umetimiza malengo kwa kumuona CR7 analilia world cup.
Apewa zawadi special yakufutia machozi.Mbuzi wa manzese.
Hakuna kombe la dunia aliloshiriki asiache kulia.
Mkuu, kuna mstari mwembamba sana wa ushabiki na tatizo la akili. Ukiona machozi ya Ronaldo yanakuwehusha ujue ushavuka level ya ushabiki.Kuna kitu hapa hukielewi,
Hii ni issue ya ushabiki wa mpira sio issue ya kipato,ni issue ya burudani tu.
Ndio maana nikakufa mfano wa Cr7 kulia baada ya kutolewa wakati yeye ni tajiri tayari,hii ni issue ya hisia za kimichezo pamoja na ushabiki wa hii burudani,
Kama ni shabiki wa mpira utanielewa ila kama hushabikii mpira huwezi kunielewa.
Yes. Jamaa kapambana ila kila kipindi ni kilio. Tafuta maoni ya Ferg, kocha mwenye mafanikio wa manchester united, ameielezea vizuri ishu ya Ronaldo kukosa wc.Mbuzi wa manzese.
Hakuna kombe la dunia aliloshiriki asiache kulia.
100%Yule ni mwehu π
Wenzao wanaenda kitimu..wao wana enda na idea ya mtu mmojaYes. Jamaa kapambana ila kila kipindi ni kilio. Tafuta maoni ya Ferg, kocha mwenye mafanikio wa manchester united, ameielezea vizuri ishu ya Ronaldo kukosa wc.
Argentina ninesoma sehemu Messi kawashukuru sana wachezaji wenzake.Wenzao wanaenda kitimu..wao wana enda na idea ya mtu mmoja
Umeongea kabisa ukamaliza.Walioanza kuangalia Mpira 2022 hawawezi kuelewa..Tunawakumbusha..tulianza kukesha kabla ya sasa na mipiraππWewe umeshawahi kuona wapi mchezaji Bora ana force ili aonekane kwamba yeye ni Bora kuliko wengine!!?
Umeshawahi kumsikia Ronaldinho akifanya hivyo , zidane Je !? Vipi kuhusu Ronaldo delima
Cr7 ni mchezaji wa kawaida mwenye uwezo Bora wa kufunga hafikii hata robo ya zidane Huwa. Nina shangaa Sana kama cr7 ana force aitwe GOAT ana force kuwa kwenye top 3 ya wachezaji Bora wa muda wote duniani kisa ufungaji wake wa magoli tu mtu kama zidane Ronaldinho na wao tuwaite kina nani Sasa !?
Wale jamaa kuanzia Benchi la ufundi mpaka wachezaji wako na idea moja.Argentina ninesoma sehemu Messi kawashukuru sana wachezaji wenzake.
Well, Messi ni Giant pale na wachezaji hawana shida nae, wanampigania.Wale jamaa kuanzia Benchi la ufundi mpaka wachezaji wako na idea moja.
Wapi Mkuu umesikia kelele kabla ya Match ya Argentina zaidi wanachukiwa