Taarifa ya Al Nassr imethibitisha kuwa nahodha wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya Mchezo siku ya kesho dhidi ya Inter Miami CF.
Sababu iliyowekwa wazi ni kuwa, Staa huyo wa Ureno Jeraha lake limeonekana bado halijapona kikamilifu kama ilivyoarifiwa awali.
Nini maoni yako?