Ronaldo kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi

Ronaldo kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1625483143532.png

Wakala wa Cristiano Ronaldo, Jorge Mendes anafanyia kazi mpango wa kuongezwa kwa mkataba nyota huyo wa kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi utakaomfunga mshambuliaji huyo wa Ureno kuendelea kukipigia klabu hiyo ya Serie A mpaka mwaka 2023.

Hivyo klabu ambazo zilikuwa zinamnyatia mshambuliaji huyo kama Man United itabidi zisubiri mpaka 2023. (Gazzetta dello Sport - in Italian).

Source: Mtanzania
 
La Gazzetta dello sport ni gazeti la michezo[emoji2][emoji2]
 
Ronaldo kama Ronaldo pekeyake ni biashara kwa klabu.pamoja na Juve kukosa mataji lakini bado wamemuongeza kandarasi mpya japo kuwa jamaa jua lishazama.
 
Back
Top Bottom