Ronaldo na Georgina wafunga Ndoa rasmi baada ya miaka 10 kuwa pamoja

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Cristiano Ronaldo amefunga ndoa rasmi na mpenzi wake wa muda mrefu, mwanamitindo Georgina Rodríguez, katika iliyofanyika nchini Ureno.

​

Mchezaji huyo nyota wa soka wa Ureno, mwenye umri wa miaka 41, alifunga ndoa na Georgina katika hafla ndogo na ya kifamilia kupitia taratibu za kiraia Agosti 11, 2026, huko Cascais, Ureno, kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari.

Wawili hao wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na wamejenga familia pamoja. Ndoa hiyo imeelezwa kuwa ya siri, huku hafla hiyo ikifanyika bila sherehe kubwa ya hadhara.

Via: Us Magazine

===========

Portuguese soccer star Cristiano Ronaldo and fiancée Georgina Rodríguez are officially married after nearly 10 years together.

“Cristiano Ronaldo and Georgina Rodriguez were married today in a civil ceremony in Cascais, Portugal, and are now officially husband and wife,” a statement shared with Us read on Tuesday, August 11. “The ceremony was a private and intimate moment attended by their five children.”

Ronaldo met Rodríguez while she was working as a sales assistant at a Gucci store in early 2017 and began dating soon after. The Argentine-Spanish model later described the start of their romance as a “very special start” during her 2022 Netflix series I Am Georgina.

“Many times he’d come [to see me] after work,” she recalled. “He would come, I remember once, once in a Bugatti. My coworkers went crazy. They get there on the bus, and I would leave in a Bugatti. I mean, people couldn’t believe it.”

Ronaldo and Rodríguez made their first public appearance together at the Best FIFA Football Awards in Zurich in January 2017. They made their romance Instagram official that May.

In June 2017, Ronaldo welcomed twins Eva Maria and Mateo via surrogate. (The athlete is also a dad to son Cristiano Jr., 16. The identity of the teen’s mother has been kept private.)
 
Kataa Ndoa wamekula 0, Sisi 3
 
Baada ya ndoa ndio utasikia vitimbi mara mahakamani mara wabataka kugawana mali wazungu kavu sana..
Demu wa LAMINE YAMAL alikua na MPANGO wa kumfungulia mashtaka dogo eti kampotezea muda penzi halija dumu hata miez sita kichekesho hicho, wajinga sana hao,

Credit nazo wapa ni romance games,ukiingia kwenye mahusiano na mzungu unaweza his wabongo ni matapeli, utafutahia balaa UKUTE mzungu kichaa dah, yani kissing, kubembeleza, penzi na bila aibu eti Kuna watu wanatuangalia wazungu hawana hayo ni romance tu mwanzo mwisho
 
Wazungu wanapenda kweli na usiwe mwongo au kuigiza ishi kutokana na uhalisia wako nilipokua nataka kuoa kuna mzungu tulipendana sana sema kutokana na matatizo yao ya mbeleni nilimuacha bila sababu kwa sababu hao watu hawaeleweki nikarudi kuoa mmatumbi mwenzangu ila hao wadudu kuishi nao unaona Dunia yote umeibeba aisee...
Kuishi nilikua nataka tuishi Tanzania yeye anasema Tanzania iwe sehemu ya kutembelea tu na mtoto azae mmoja daah tulipendana kama watoto mapacha shida ndio hiyo unakaa nae mapepo yake yakiamka unamkuta mahakamani..
 
Mwamb pesa kibao ila hajafanya sherehe na michango ya kuchosha watu, wamatumbi ndoa zinakuja na ugomvi wa ndgu,michango, madeni, visirani mpaka usaliti kisa kufanya sherehe kubwa.
 
Kuna kipindi nilikua na plan nikaishi kisiwa cha mafia nijenge zangu huko beach plot, nivute mtoto wa kizungu nitulie nae kule, lakini tabia Yao hiyo ndo chanzo yani hao andikoshaa mali jina la wazazi alafu akija akute una kila kitu hapo kwisha ila watoto wa kiarabu waliniprove wrong wako vizuri wamenyooka achana na waarabu wa uswahilini wale mboga Saba wamenyooka hatari, lakini naplan nivute mmatumbi mwenzangu no way out
 
Ronaldo Ameyakanyaga ,kavamia mtumbwi wa vibwengo - Soon ataenda kumjoin Tyrese na Tyga Wood.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…