Ronaldo na Messi waongoza kwa kulipwa pesa nyingi

amygdala

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,082
Reaction score
997
Wachezaji Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wa mchezo wa soka wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa sasa.

Ronaldo analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku akijikusanyia kiasi cha pauni milioni 19,kwa mwaka Nae Lionel Messi analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku nae akipata pauni million 19 kama Ronaldo kwa mwaka.

Wachezaji wengine wanaolipwa pesa nyingi duniani
Gareth Bale (Real Madrid) Pauni 346,000 kwa wiki, Pauni Milioni 18 kwa mwaka

Givanildo Vieira de Sousa maarufu kama Hulk (Shanghai SIPG) Pauni 317,000 kwa wiki Pauni Milioni 16.5 kwa mwaka

Paul Pogba (Manchester United) Pauni 290,000 kwa wiki Pauni Milioni 15 kwa mwaka

Neymar (Barcelona) Pauni 289,000 kwa wiki Pauni Milioni 15 kwa mwaka

Graziano Pelle (Shandong Luneng) Pauni 260,000 kwa wiki Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka

Wayne Rooney (Manchester United) Pauni 260,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka

Zlatan Ibrahimovic (Manchester United) Pauni 250,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13 kwa mwaka

Sergio Aguero (Manchester City) Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka

Yaya Toure (Manchester City) Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka,
Ronaldo na Messi waongoza kwa kulipwa pesa nyingi - BBC Swahili

pamoja na kutokufanya vizuri kwa miaka ya hivi karibuni lakin kwe tunaona kwe listi hii Man U Wana wachezaji wtatu wanaolipwa zaidi(rooney,ibra na pogba) wakati klabu zinazofanya vizuri km barcelona na madrid zina wawili kila mmoja na wengine kama bayern hawana mchezaj kwe list hii
 
Wachezaji Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wa mchezo wa soka wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa sasa.

Ronaldo analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku akijikusanyia kiasi cha pauni milioni 19,kwa mwaka Nae Lionel Messi analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku nae akipata pauni million 19 kama Ronaldo kwa mwaka.

Wachezaji wengine wanaolipwa pesa nyingi duniani
Gareth Bale (Real Madrid) Pauni 346,000 kwa wiki, Pauni Milioni 18 kwa mwaka

Givanildo Vieira de Sousa maarufu kama Hulk (Shanghai SIPG) Pauni 317,000 kwa wiki Pauni Milioni 16.5 kwa mwaka

Paul Pogba (Manchester United) Pauni 290,000 kwa wiki Pauni Milioni 15 kwa mwaka

Neymar (Barcelona) Pauni 289,000 kwa wiki Pauni Milioni 15 kwa mwaka

Graziano Pelle (Shandong Luneng) Pauni 260,000 kwa wiki Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka

Wayne Rooney (Manchester United) Pauni 260,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka

Zlatan Ibrahimovic (Manchester United) Pauni 250,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13 kwa mwaka

Sergio Aguero (Manchester City) Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka

Yaya Toure (Manchester City) Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka,
Ronaldo na Messi waongoza kwa kulipwa pesa nyingi - BBC Swahili

pamoja na kutokufanya vizuri kwa miaka ya hivi karibuni lakin kwe tunaona kwe listi hii Man U Wana wachezaji wtatu wanaolipwa zaidi(rooney,ibra na pogba) wakati klabu zinazofanya vizuri km barcelona na madrid zina wawili kila mmoja na wengine kamabayern hawana mchezaj kwe list hii
Hao wa Barca na Madrid mchango wao unaonekana,,. wasiwasi wangu uko kwa Pogba
 
kulikuwa kuna ulazma gani wa kuquote habar nzima wakat ww ndio mchangiaji wa kwanza
 
Hakiyamungu jamani! Siku Zote Mchango Wa Makipa Hauonekani Manake De Gea Si Wakukosa Kwenye List hii Coz Mchango Wake Kwa Man U ni Mkubwa Kuliko Wa Rooney, Ibra na Pogba....
 
Beki ndiyo inayomfanya kipa aonekane ni mzuri, beki ikiwa uchochoro hata kipa awe hodari namna gani ni lazima atobolewe na kuonekana pazia.
 
Mkuu Ukweli Ni Kwamba Beki Ndiyo inayofanya Kipa Afungwe kirahisi au Asifungwe... Lakini Uvovu au Ubora Wa Beki Haudetermine Ubora au Ubovu Wa Kipa...
Barcelona ilikuwa na Beki ya Kutisha PEQUE, PUYOL, ALAVES na ABIDAL na Timu Haikuwa ikifungwa Kizembe... Lakini Still VALDEZ hakuwahi Kuwa Kipa Bora....
Real ilitunguliwa 5 na Bercelona Lakini Still CESILAS alikuwa Kipa Bora...

Kwahiyo Ubora wa Kipa Unatokana na yeye mwenyewe Anavoperform Pale Golini na wala si Ubovu au Uzima Wa Mabeki... That is why Juventas ilipotea Kitambo Mchezoni ikaishia Kudunguliwa tu lakini still Buffon Hakuwahi Kuzaraulika na alihesabiwa kama One of the Best GoalKeeper..
 
Back
Top Bottom