donald mickhitarian
Senior Member
- Apr 22, 2017
- 120
- 47
Mkuu labda unaizungumzia Barcelona ya Kibaigwa.Mchezaji wa Real Madrid Christiano ronaldo amechukua makombe manne ya champions league katika maisha yake ya soka ni kitu kikubwa sana kuna baadhi ya wachezaji mahili kama Ronaldo nazalio delima hawakuwahii kuchukua barcelona imechukua mara tatu tu toka ianzishwe
Mashabiki wa Man United wanakelele sana. Tatizo wanatazama Uefa tu tena Madrid na Man U. Hawana detail za michezo mingine. Unamsifia Ronaldo hata data hauna. Wanakuaga wabishi hawa ukikutana nao mtaaniWatu wengine bwana sasa utalinganishaje mchezaji na timu? alafu ata data hauna.
Ronaldo bado anazidiwa na Iniesta na Messi kwa idadi ya vikombe vya kuchukua na timu.
Ronaldo anazidiwa na Messi kwa vikombe kwa personal award sasa utailinganishaje na Club Barcelona?
[emoji23] [emoji23] hahaMashabiki wa Man United wanakelele sana. Tatizo wanatazama Uefa tu tena Madrid na Man U. Hawana detail za michezo mingine. Unamsifia Ronaldo hata data hauna. Wanakuaga wabishi hawa ukikutana nao mtaani
Mchezaji wa Real Madrid Christiano ronaldo amechukua makombe manne ya champions league katika maisha yake ya soka ni kitu kikubwa sana kuna baadhi ya wachezaji mahili kama Ronaldo nazalio delima hawakuwahii kuchukua barcelona imechukua mara tatu tu toka ianzishwe[/QUOTE
Kwa taarifa yako Ronaldo de lima amechukua kombe la dunia(kombe lenye hadhi kuliko makombe yote dunia hii) wakati Christiano ameshiriki mara tatu lakini hata fainali hajawai kanyaga.
Mahaba hayajawahi muacha mtu salama, sijui mafanikio gani Iniesta anamzidi Ronaldo? Ronaldo mchezaji bora mara 4 na anaenda kuchukua ya 5,Iniesta mwaka gani kawa bora,Watu wengine bwana sasa utalinganishaje mchezaji na timu? alafu ata data hauna.
Ronaldo bado anazidiwa na Iniesta na Messi kwa idadi ya vikombe vya kuchukua na timu.
Ronaldo anazidiwa na Messi kwa vikombe kwa personal award sasa utailinganishaje na Club Barcelona?
Je ronaldo anastahili kuwa mchezaji bora? Kwa kutumia kigezo kipi?Mahaba hayajawahi muacha mtu salama, sijui mafanikio gani Iniesta anamzidi Ronaldo? Ronaldo mchezaji bora mara 4 na anaenda kuchukua ya 5,Iniesta mwaka gani kawa bora,
Makombe yapi ambayo Messi anayo Ron hana? Wakati Man U wanabeba ndooo unajua kuwa Ron alikuwepo? Acheni mahaba na Rungwe wenu.. Kubalini mwaka huu kafulia.
Mchezaji wa Real Madrid Christiano ronaldo amechukua makombe manne ya champions league katika maisha yake ya soka ni kitu kikubwa sana kuna baadhi ya wachezaji mahili kama Ronaldo nazalio delima hawakuwahii kuchukua barcelona imechukua mara tatu tu toka ianzishwe