Ronaldoooooo......

Messi anaona Baja... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ katoka nduki ati wana mechi ngumu aibu hiyo na ile time ya kina ihaki williams hawaiwezi so watapoteza huku na kule.. jana wameponea chupu chupu kufungwa wakalazimisha sale... Messi hataki tena aibu kama aliyoipata kwenye Ballon D'Or Sasa Ronaldo ananyakuka award zote bila kumbakizia Messi Muhahahahaha anaona Baja huyo... kwanza kila mtu kamshangaa yeye na Barca kuona soo na wao wamesepa raisi wao tu ndio atakuwepo kushuhudia CR7 akituzwa Uchezji bora wa Fifa Kweli Ronaldo anatisha... Messi asubiri Ronaldo azeeke... Na Msimu huu Champion wa la liga unaenda Madrid Zizuu ah Kombe la Mfalme,Champions league na mengine sijui Mfalme Mbuzi n.k yaani yote... Huku Barca wakioa yoyoyoyo


 
Kanuna huko alipo aisee. Hahaha
Ila hatoishiwa Maneno... Maana Tuzo za 2016 zote Ronaldo kazisomba,Makombe makubwa Ronaldo, na Mwaka huu pia mwendo mdundo so Messi asubiri hadi Magufuli atoke Madarakani au Ronaldo astaafu hihihihi
 
Ila hatoishiwa Maneno... Maana Tuzo za 2016 zote Ronaldo kazisomba,Makombe makubwa Ronaldo, na Mwaka huu pia mwendo mdundo so Messi asubiri hadi Magufuli atoke Madarakani au Ronaldo astaafu hihihihi
Yule kawaida atakuja na mambo yasiyoeleweka.

CR7 kawafunga midomo wale wanaojifanya wanajua kuchonga
 
Ronaldo ndio anaweka Record kupata tuzo mpya ya kisasa ever...



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…