aspen JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 501 Reaction score 166 Dec 4, 2011 #1 wandungu ningependa tufahamishane bei za mabati za kuezeka na ubora wake pia kuna za ando, decra, IT na zingine naamini kuna wajuzi humu jamvini nawasilisha
wandungu ningependa tufahamishane bei za mabati za kuezeka na ubora wake pia kuna za ando, decra, IT na zingine naamini kuna wajuzi humu jamvini nawasilisha