Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda mabibo ukaone
mbeya university of science and technology...nilikuwa nasoma join instruction yao hawa jamaa...nilipofika kwenye mambo ya hostel nikachoka....eti chumba watu 8. jaman ...,kama watoto wa secondary....kumbe ni watu wanaosomea shahada....
unashangaa nini!
kapange kijana mbona vyumba vipo vingi huko njembeya university of science and technology...nilikuwa nasoma join instruction yao hawa jamaa...nilipofika kwenye mambo ya hostel nikachoka....eti chumba watu 8. jaman ...,kama watoto wa secondary....kumbe ni watu wanaosomea shahada....
Kweli umezoea raha...ukitaka kujua adha,kero na maudhi ya accomodation waulize wanafunzi wa udsm
Niliwahi kukuta jamaa kalala kitandani kwangu mchana akaamka nikamuuliza babu vipi tena, akaniambia kaka we una kitanda mi kupumzika kupumzika mchana tu una maindi basi nipe kiwe changu mi nikubebe semista nzima!!! Alikuwa ni mshikaji wa mate wao wakisoma UCLAS
Nikacheka sana ila kwa masikitiko basi jamaa akiwa kachoka anakuja na shuka lake pale anapumzika usiku anasoma tu yule msela...baadae akaomba kuweka na begi chini ya kitanda tukawa tunaishi mtu tano rum moja block C pale ye akawa analala kitanda ambacho hakina mtu wote tukiwepo analala ma mshikaji wake!!!!
Leo imebaki stori kama hivi. Dogo akasome maisha ya chuo mapito tu!!!
Mlikuwa mnakaa watano? Aisee mwaka gani huo? Mi wakati nasoma kukaa nane ilikuwa ni kawaida sana....ndo chumba kinakuwa kimekamilika
Aaaanh nyie watu wa crisis eeenh 2004 -2006 ndio mlikoma saaaana!!!!