Room 1 watu 8! Hapa MUST mmechemka


Mkuu kwa MUST kila kitu kipo poa isipokuwa kitu kimoja tu "CANTEEN"
Hii sehemu kwakweli aliye design sijui ni nani. MUST ni moja ya Chuo kizuri sana kwa hii fani ya Usanifu Majengo lakini aliyedesign hiyo Canteen siyo kabisa.
Mkuu hawajajenga nyingine?

Kuhusu room za kulala watu 8 ni sawa tu maana room ni kubwa sana hasa zile za Block 7, Block 6A and 6B. Kuhusu hizi mpya nazo room ni kubwa sana.
MUST ni sehemu nzuri sana ya kusoma kiukweli.
 
Diploma ndo ipo hivyo mkuu. Degree ni watu wa-nne. Ukifika wakati gombea U-rais pale upewe chumba chako na ofisi kubwaaaa!!!

Office mpaka ina makochi, na vitu vyote vya muhimu hata ya Headmaster wa sekondari haifikii pale
 
hizo room ni kubwa sana alafu zipo poa....yani kila kitanda kina socket
 
mbeya university of science and technology...nilikuwa nasoma join instruction yao hawa jamaa...nilipofika kwenye mambo ya hostel nikachoka....eti chumba watu 8. jaman ...,kama watoto wa secondary....kumbe ni watu wanaosomea shahada....

mbona ishu ya kawaida njoo udsm uone chumba wanakaa watu wangapi! Chuo kusoma kulala kwenu.
 

Hongera mkuu, hostel za MUST huwezi kuzifananisha na za DIT, hostel za DIT vyumba vyake ni vidogo sana kiasi ambacho inaingia double decker moja tu, magodoro yake ni ya zamani sana na yapo slim yani ukilala unaumia kwa chaga, magodoro pia ni 2.5ft nahisi sababu kulala wawili ni shida hasa wakati wakubebana, milango yake sio imara halafu mtu anaweza kuona mtu akiwa ndani, pia ni chafu sana hasa vyooni.
Hostel za MUST ni kubwa sana zinaingia double decker 4 na nafasi inabaki yakuweka meza za kusomea, pili ni safi kwani zinafanyiwa usafi mara mbili kwa siku, tatu godoro zake ni nene na nzuri ukilala huumii, godoro ni 3.5ft mnaweza kulala wawili, milango yake ni imara.
Nyingine mnaweza kuongezea.:cool2:
 
Me enyewe nmeshangaa sana baada ya kuisoma ile fom aisee !! Wa2 8 duuuuuuh

watu 8 means madeka manne....sasa unashangaa nini? au unafikili unaenda chuo kulala? !hayo mambo ya kutaka privacy ndo yanayowafanya kuwaza ngono mda wote
 
"mbeya university of science and technology...nilikuwa nasoma join instruction yao hawa jamaa...nilipofika kwenye mambo ya hostel nikachoka....eti chumba watu 8. jaman ...,kama watoto wa secondary....kumbe ni watu wanaosomea shahada....[/QUOTE]


Pole sana mkuu, pale shule tu, 8 ndyo ila raha msitarehe,
km wataka cha kwako peke yako , hata hawakulazimishi kukaa hostel, Vyumba vpo vng mtaan, had vya 20,000,
mi mwenyewe nasoma hapo, toka Diploma Had leo nachua Bachelor ni 8 kla chumba, ila viko poa sana,
 

Haswaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…