room allocation UDSM zimetoka ingia kwenye account yako ya ARIS ujue umepangiwa wapi. jinsi ya kuingia ARIS, username, registration # yako, password, sirname yako, bt dont forget to change your password. THANKS.
mbona kwangu iko poa kaka.
ata mm sina loan ila nitakomaa kwa uwezo wa mungu tutamaliza town mishe kibao maisha yatasonga.
Mwanzoni sikutumia caps letters,baada ya kutumia caps,mambo ni mazuri....BIBOOOO
Makuzi hawa wamenipanga Mabibo,dah!
ata mm sina loan ila nitakomaa kwa uwezo wa mungu tutamaliza town mishe kibao maisha yatasonga.