room allocation kwa 1st year wote udsm.

Nipo Main campus Hall V, block H, floor ya 11 kudadesa mwenye pei nimbebe, anatoa pei ya semester na kunkabidhi mikebe mitatu cash... Haraka sana hii ofa n ya muda 2. Usumbufu ctaki.. Nimemaliza yaaan

floor ya 11 huko kaa mwenyewe tu ndugu..wenzio wanaopangwa huko huwa wanatoaga bure rum zao.
 
Naomba kuelekezwa ARIS ndo unaingiaje maana kuna Binti kaomba nimuangalizie, ARIS ndo website au ipo kwenye website ya udsm?
 
washalipa kaka.. Chenji nzuri 2 xo biashara imefungwa pimbi wewe... Tena order nyngi aliyeshnda ka2ma kilo 4.
 
Mdogo wangu mbona unatukana wakubwa,au unafikir we ndo wa kwanza kupata room.........kuwa na maneno ya busara hakutokupunguzia thamani ya utu wako..
 
Udsm!Udsm!.NDIO habari ya mjiniii.Hongereni kwa kuchaguliwa super university.

mia. Nicnge chaguliwa hapa ningeghaili mwaka na kuomba upyaaaa... Yaani hapa ni kama home vile,baba -udsm,mama -udsm,dadaz n bradhaz udzm jamani.... Af et me niende Teku nafwaaaa
 
Nipo Main campus Hall V, block H, floor ya 11 kudadesa mwenye pei nimbebe, anatoa pei ya semester na kunkabidhi mikebe mitatu cash... Haraka sana hii ofa n ya muda 2. Usumbufu ctaki.. Nimemaliza yaaan

we ni muongo hall v hakuna block H duh
 
Naomba kuelekezwa ARIS ndo unaingiaje maana kuna Binti kaomba nimuangalizie, ARIS ndo website au ipo kwenye website ya udsm?

Google "aris udsm" afu ingia kwenye iyo web...andika reg no...password ni jina la mzazi kwa herufi kubwa..ukiingia nenda kwa accomodation...hongera na all da best
 
kiaje kuxma na kuxka pesa or ndo kujifariji

unafikiri nisipotafuta pesa nasoma vp? sina loan sina wazazi, subiri yakukute ndio utajua kusoma na kutafuta pesa pa1 vinawezekana.
 
mia. Nicnge chaguliwa hapa ningeghaili mwaka na kuomba upyaaaa... Yaani hapa ni kama home vile,baba -udsm,mama -udsm,dadaz n bradhaz udzm jamani.... Af et me niende Teku nafwaaaa

Wote wamesomea Kozi ya Wito nini, isiyo na Over time,semina wala Safar za nje ya kituo cha kazi? Hongera kwa Uzalendo
 
Google "aris udsm" afu ingia kwenye iyo web...andika reg no...password ni jina la mzazi kwa herufi kubwa..ukiingia nenda kwa accomodation...hongera na all da best

shukran Kamechaguliwa Mabibo,
 
Naomba kama kuna mtu hana wa kumbeba au anauza kutanda aniPM tufanye maelewano.

Natafuta room au kubebwa Campus. Mimi ni mwaka wa tatu. Nitashukuru sana kama kuna atakayejitokeza.

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…