dodoma real estates
Member
- Jan 18, 2017
- 77
- 12
Mkuu samahani kuna sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu ndio maana nka shindwa..ukiwa interested nicheck kwa 0714140579Picha mku
Hapana karibu na barabara ndugu..hapa maeneo ya shuleIPO karibu na barabarani au kule ndani kwenda mpaka upande boda
Hapana mkuu sijawahi fanya kitu kama hicho na huwa natuma na picha ila kwa hili nimeshindwa ndio maana nikaonba radhi kwa ukosefu wa pichaBila picha utakua ni sawa na unataka kuuzia mbuzi kwenye gunia, mtu achukue akifika kwake akute kumbe sio mbuzi ni fisi
Kwa sehemu ya biashara ya mpesa na tigo pesa ni stendi ya mkoa panakufaa nadhani ila kwa chakula ni maeneo ya soko la majengo ndiowengi hutaka nafasi kule..ila pia hata mpesa panafaa pia ..ukiwa tayari nijulishe nianze mchakatoYaani ile mtaa yenye biashara kwa sana mku
Vipi kuleChang"ombe Dampo,stand ya Kondoa fremu zipo!?Kwa sehemu ya biashara ya mpesa na tigo pesa ni stendi ya mkoa panakufaa nadhani ila kwa chakula ni maeneo ya soko la majengo ndiowengi hutaka nafasi kule..ila pia hata mpesa panafaa pia ..ukiwa tayari nijulishe nianze mchakato
Frame zipo wew tuu mkuuVipi kuleChang"ombe Dampo,stand ya Kondoa fremu zipo!?