Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
yes boss urgently
ila roof siyo hiyo contempo
Njoo pmWakubwa katika bwana nahitaji good desing and very good economy ambaye anaweza kunipa hiyo mambo kama jaribio akiweza kuitimiza within budget nampa kazi nyingine ila awe mkweli kwangu uongo sijui siasa sijui ukanjanja aisee sitaki.
nahitaji a good fundi ambaye anaweza jenga a good house ya one room good kitchen na store kwa muda mfupi budget isivuke 5million eneo la ujenzi ni mkoa dodona kama hauwezi usinilazimishe nifuatane na wewe labda uwe na quantitive loggic... Mjenzi atapewa accomodation chakula na mademu atajiwezesha mwenyewe.. siwezi gharamia maambukizi na utoaji wa mimba..
Nzurii
Imekaa poa sana.
hahahahaha duu au tunatumia zabuni za serikali au hakuna choo cha milioni tanoMkuu huku huwa tunaambiwa kujenga choo pekee ni milioni 5[emoji276]ngoja wajuzi waje
Tatizo laku unajifanya ujui kiswahiliWakubwa katika bwana nahitaji good desing and very good economy ambaye anaweza kunipa hiyo mambo kama jaribio akiweza kuitimiza within budget nampa kazi nyingine ila awe mkweli kwangu uongo sijui siasa sijui ukanjanja aisee sitaki.
nahitaji a good fundi ambaye anaweza jenga a good house ya one room good kitchen na store kwa muda mfupi budget isivuke 5million eneo la ujenzi ni mkoa dodona kama hauwezi usinilazimishe nifuatane na wewe labda uwe na quantitive loggic... Mjenzi atapewa accomodation chakula na mademu atajiwezesha mwenyewe.. siwezi gharamia maambukizi na utoaji wa mimba..
jamaani hahahahahah yamekuwa hayo tenaTatizo laku unajifanya ujui kiswahili
anza na pipaMkuu huku huwa tunaambiwa kujenga choo pekee ni milioni 5[emoji276]ngoja wajuzi waje
jamani nianze na pipa tenaanza na pipa
aiseejamani
picha ziko wapi mekuPictures Hizo Nyumba Ndiyo Unajenga Kwa Millions 3 Imekamilika Yote Unahamia
Thread Hii Ina Pictures Mbili Za Nyumbapicha ziko wapi meku