room udsm

UDOM ni chuo cha kata ndo mana hata walioko ni vilaza ndo mana hujui mana ya neno kubebana umethihirisha ukilaza wako miongon mwa vlaza wezako

Kuwa mpole usiwe na jazba Dogo, tatizo umesha paniki , sasa ntajuaje maana ya kubebana kama chuo changu watu hawa bebani , KWANI HICHO CHUO CHENU KINA MADARASA MENGI KUZIDI HOSTEL?
 
we ungeulza nn mana ya kubebana na co kukashfu ila kama unataka kujua ulza nitaopen mind yako ucjal jazba zmeisha sory bro
 
mkuu ngoja 2fanye mchakato kwanza na hiyo loan itoke..ndo 2naweza toa tamko kama kuna kubebana..unaweza kum promise mtu afu loan chali na hali ya nyumban ilivo ngumu inakua majanga mara mbili...me pia nimepata ud so kama kila kitu kitakua sawa tutawasiliana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…