habari zenu wadau...nimechaguliwa NIT koz ya logistix n transport mngnt..nipo arusha,nackia kupata hostel chuoni ni ngum xana ukizngatia tumexhaguliwa wengi..so mwny uwezo wa kunisaidia khs upatikanaji wa vyumba vya kupanga naomba tuwasiliane through 0717382652 au 0685645615...asanteni
saidry Hauna ndugu kabisa Dar? au hata rafiki? Ila usijali sana coz gharama za vyumba kwenye eneo chuo kilipo c kubwa sana ukilinganisha na Arusha. Kipo hapo Mabibo nyuma ya Manzese.
saidry Hauna ndugu kabisa Dar? au hata rafiki? Ila usijali sana coz gharama za vyumba kwenye eneo chuo kilipo c kubwa sana ukilinganisha na Arusha. Kipo hapo Mabibo nyuma ya Manzese.