Barelawyer
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 197
- 71
Pia sema size ya vyumba (square m). Term and condition uliyoweka ni moja tu kwamba mtu mmoja, kwa hiyo nikiwa na mke siruhusiwi. Kama sijaoa, kipotable changu pia marufuku? Ni no smocking zone? No kitimoto? au mashariti haya yatatolewa baada ya wewe kupokea chako.
Weka bei mbona unazunguka sana?
Haya mkuu ngoja tukutafute mkuu....
Okeeeeey....nimeku pm unipe contact mr gallaxy