Rooneeeey.

Rooneeeey.

shuta muombwa

Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
12
Reaction score
9
"Liverpool wakibeba ubingwa wa uefa wala sio habari, wameshababe mara tano, kubeba ya mara ya 6 kawaida tu maana hakuna anayeshindana nae katika hilo. Tatizo lipo yeye kubeba ubingwa wa ligi, hilo halikubaliki, ni mwiko"[emoji23] Wayne Rooney
shaffihdauda_-20190518-0001.jpeg
 
Hayo ni maneno ya mkosaji. Kwakuwa ameona kuwa Liverpool ndio bingwa basi anatafuta kisingizio.

Binadamu hawakosi chakuongea hata Liverpool angechukua ligi wangesema tu maana maneno hayalipiwi kodi.
 
Hajitambui huyu kilaza.
awaulize kina Neville, Giggs, nk inavyowauma kuzidiwa na Liverpool kwenye mataji ya Ulaya. wanatamani kubadilishana na yao ya EPL!
 
Back
Top Bottom