Rooney na Ronaldo wanalingana Umri Lakini Mmoja wao yu Mzee kuliko mwenzake

kuna mmoja hapo amefabricate miaka kwani onyango mbona yuko na 27
 
Rooney Unywaji wa pombe na mademu , Ronaldo a anajitunza Sana huyo jamaa na ana nidhamu na kazi.. Rooney amebak kubwabwaja Tu mtandaoni na tambi lake
 
Jamani khaaaaa nimemuona mwaka juzi yani mara hii kashakua hivyo?
 
Nature tu Rooney akiwa Manchester tu alikuwa Kama na upara akaotesha nywele still bado mambo yakawa magumu
 
Mleta uzi una ushabiki mavi na Cr7 au hujui kitu. Hiyo picha ya rooney sio ya ukweli. Hajafikia hatua hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…