LGE2024 Rorya: CCM imeshinda vijiji 84 kati ya 87 na vitongoji 470 kati ya 508

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Jimbo la Rorya limeshinda vijiji 84 kati ya 87 na vitongoji 470 kati ya 508. Ushindi huu ni zaidi ya 97% .

"Ushindi huu unatupa dira na mwelekeo wa uchaguzi wetu wa Serikali kuu mwakani lakini pia kuonyesha jinsi utekelezaji wa ilani ya chama chini ya mwenyekiti wetu Taifa mama yetu Samia Suluhu Hassan ilivyotekelezwa ndani ya miaka minne"
Your browser is not able to display this video.
 
Hamna lolote maana hakuna ushindani wa vyama vingine.
 
ungesemtupu
 
Usiseme imeshinda, sema wametangazwa washindi.

CCM huwa haishindi, bali inapora, halafu inatangazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…