Uchaguzi 2020 Rorya kumekucha, Ezekia Wenje achukua fomu ya Ubunge

Uchaguzi 2020 Rorya kumekucha, Ezekia Wenje achukua fomu ya Ubunge

MOSintel Inc

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2016
Posts
817
Reaction score
593
Mgombea Ubunge Jimbo la Rorya kwa tiketi ya CHADEMA, Ezekia Wenje tayari amekabidhiwa fomu ya kugombea Ubunge na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo.

wenje.JPG
 
Hili jembe linapaswa kurudi Bungeni. Wana Rorya should do the needful...
 
Duh yule sengerema huyu ryorya kweli jimbo gumu sana
 
Wenje ana nafasi kubwa ya kuibuka mshindi katika jimbo la Rorya kwa sababu za kihistoria zaidi kwani pamoja na majuzi Magufuli kubadilisha DC kwa kumuondoa mkurya na kumuweka mjaluo lkn haitasaidia kitu.

Takwimu zinamfagilia Wenje na hata kwenye uchaguzi uliyopita alipokuwa akitetea ubunge wake pale Nyamagana na kudhulumiwa na marehemu Mkapa wananchi wengi wa Rorya walichukia sana na sasa wanaona ni muda muafaka kumrejeshea ubunge wake.
 
Back
Top Bottom