Wenje ana nafasi kubwa ya kuibuka mshindi katika jimbo la Rorya kwa sababu za kihistoria zaidi kwani pamoja na majuzi Magufuli kubadilisha DC kwa kumuondoa mkurya na kumuweka mjaluo lkn haitasaidia kitu.
Takwimu zinamfagilia Wenje na hata kwenye uchaguzi uliyopita alipokuwa akitetea ubunge wake pale Nyamagana na kudhulumiwa na marehemu Mkapa wananchi wengi wa Rorya walichukia sana na sasa wanaona ni muda muafaka kumrejeshea ubunge wake.