Rorya: Mkutano Mkuu wa Chadema Wafana, Maelfu ya Wanachama wahudhuria

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Dalili ya Chama cha siasa kinachojiandaa kutwaa madaraka ya Nchi zinajionyesha wazi kabisa , Chama ni watu siyo Chawa

Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe kwamba Chadema haina wanachama wajinga , wote hawa ni wanachama wenye akili timamu .

Hii ni leo

 
Ama kweli Makonda ni Moto wa kuotea mbali!!

Asante tumeyaona mafuriko 🀣🀣🀣
 
Hebu angalia mkutano huu Maaluma wa Wilaya ya Rorya , Mkoani Mara , Ikumbukwe kwamba Chadema haina wanachama wajinga , wote hawa ni wanachama wenye akili timamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
juzi mama alivokuja mwanza malori kwa malori mpaka mabasi yalienda kubeba watu ukiwaangalia hata msosi hawana pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…