Rorya wamemkataa Jaffari Chege

Rorya wamemkataa Jaffari Chege

Tao

Senior Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
105
Reaction score
195
Mbunge wa sasa wa Rorya ndugu Jaffari Chege yuko kwenye wakati mgumu kisiasa kutokana na wananchi wengi wa Jimbo hilo kumkataa hadharani,hii inajidhihirisha wakati huu anapozunguka maeneo mbalimbali humo jimboni kwenye mikutano ya hadhara.

Uchunguzi unaonyesha Jaffari atakuwa miongoni mwa wabunge wa sasa watakaoanguka kwenye Kura za maoni ndani ya CCM.

Kama mtafiti nimebaini kuwa kuna sababu kadhaa zinazosababisha hali hii kutokea na baadhi ni hizi hapa

1.hakuwa chaguo la Wana CCM kwani hata kwenye Kura za maoni alizidiwa na Olwero lakini alipitishwa kwa mizengwe na
hata kwenye uchaguzi mkuu aliyekuwa mgombea wa ubunge Kwa tiketi ya Chadema ndg Ezekia Dibogo Wenje alimchachafya kwelikweli.kwa kifupi hakuwa chaguo la wana Rorya

2.Mbunge huyo ameshindwa kabisa kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025 na zaidi ameshindwa kuyasimamia mambo mazito ya maendeleo na miradi ya kimkakati kama vile

a. Ameshindwa kuwatafuta wawekezaji Kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha samaki

b. Ujenzi wa soko la kimataifa Kirongwe haujaanza mpaka sasa
c Ameshindwa kuwahamasisha na kuwasaidia wakulima wilayani Rorya kuanzisha uzalishaji wa mazao ya biashara kama njia muhimu ya kupunguza umasikini na kuboresha maisha yao.

d.Barabara ya kiwango cha lami Mika to Kirongwe inajengwa chini ya kiwango na ujenzi wake unaenda too slow.

e.Amekosa uadilifu na uzalendo kwani amekuwa akishutumiwa kuwa ni mkabila na ameungana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rorya ndugu Ongujo wakibara kuunda makundi ya kikabila ya Suba A na Suba B

f.kumekuwepo na fununu kuwa mjumbe wa sasa wa mkutano mkuu ndugu Sango Kasera anaweza kugombea ubunge hivyo wananchi wengi wanamuona kama strongest candidate kutokana na hasa anavyotekeleza majukumu yake kama mjumbe wa mkutano mkuu na nanma ambavyo amekuwa msaada mkubwa katika kutatua kero zao mfano amewasaidia kupunguza tatizo la uhaba wa nadawati mashuleni

g.Chege ameshindwa kabisa kuinua na kuboresha sekta ya elimu wilayani Rorya
mfano kiwango cha ufaulu drs la Saba na kidato cha nne kinashuka kila mwaka

wananchi wengi niliowahoji wanasema Rorya kuna high school chache sana

h.ameshindwa kushirikiana na viongozi wenzake kukabiliana na tatizo la wizi wa mifugo

i.Ni mbunge muongo muongo

Hatekelezi ahadi zake
Amejikita kwenye mambo mepesi mepesi kama vile mikopo kwa bodaboda nk.

wana CCM wana hasira na wanasema endapo chama chao kitalazimisha Chege agombee tena basi wao watampigia kura mgombea wa upinzani
 
Sukujua kwamba Suba nalo Moja ya makabila Tanzania
 
Kwahiyo angelishinda Wenje ndio angelifanya hayo aliyoshindwa kufanya Chege? Mbunge hujenga barabara?
 
Nani alikwambia kuwa wenje hakushinda au ujinga wenu wa kupora Kwa nguvu ndio unawafariji. Ccm mmejaa mapumbavupumbavu tu hata hamuelewi lolote.
 
Itoshe kusema Wajaluo wa Tanzania ni wajinga sana,Kama bado mnafikiri bado mnaweza kupata maendeleo kutoka CCM na wakati ni hao hao ndio wamewatawala toka mpate uhuru lakini bado mnaishi kwenye umaskini wa Hali ya juu mpka Leo,mlichobakiza ni kuoa oa ovyo ovyo,kulogana na misifa isiyokuwa na maana

Kwanini mnaendelea kuwatumia watu wale wale ili kutatua matatizo yale yale yaliyo sababishwa na watu wale wale………kwanini lakini na ni mpaka lini mtabadilika!??? Tafuteni Chama Mbadala

Wajaluo ni miongoni mwa makabila makubwa kanda ya ziwa lakini bahati mbaya hakuna kiongozi yoyote mjaluo kwenye nchi hii…….mnazidiwa ata na Wapemba,wakwere,Wakerewe au wasubi na wakati ni jamii za watu wachache sana

Amkeni!!!
 
Wajaluo Wana wivu sana,ukinunua nyama au samaki hakikisha unaficha wasione,vinginevyo utamaliza hata gunia la mkaa na haivi.Kwao huo mshahara na posho za ubunge ni dhambi isiyosameheka!
 
Back
Top Bottom