Rosa Lee na kibao kipya mjini, ina too deep

Itovanilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
2,314
Reaction score
5,150
Nimesikiliza huu wimbo japo kajaribu kusound kama Nick Minaj au Cardi B lakini kiukweli kujitahidi sana kuflow kizungu ambacho wengi wetu wanashindwa kwani hata wakiandika vizuri mistari ya kimalikia lakini kwenye matamshi kinawapiga chenga.

Hongera Rosa Lee, hii ni ladha mpya mjini.

Wimbo unapatikana kwenye Platforms zote hivyo mkaupakue siyo kila kitu kutafuniwa.
 
Wimbo unaitwaje?
 
Sema katoa boko kwenye show ya leo ya serengeti hapo viwanja vya posta kijitonyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…