ulaya12 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 834 Reaction score 907 Dec 20, 2017 #1 Niliulizia hapa jukwaani bei ya Rosa wiki tatu sasa zimepita, nashukuru nimeipata, leo naomba niulizie bei ya Noah Kwa kununulia yard za Dar
Niliulizia hapa jukwaani bei ya Rosa wiki tatu sasa zimepita, nashukuru nimeipata, leo naomba niulizie bei ya Noah Kwa kununulia yard za Dar