Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh kasepa 'the industry'...haya kazi njema huko aendapoRapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Dow’ amesema mkataba wake na label hiyo ulimalizika na hakuongeza tena, hivyo hivi sasa anaendelea na watu waliokuwa akifanya nao kazi toka awali.
Download Wimbo wake Mpya HAPA
Naunga mkonyo hoja. Pia mimi swali la kwanza kujiuliza ni je pesa waliyoinvest kwa Rosalee imerudi ama wamepigwa hasara, maana demu mwenyewe hata shows hanaKuna tatizo gani hapo the industry?
Nadhani kumanage wasanii siyo jambo rahisi na najiuliza je uwekezaji alioufanya kwa rosa ree umerudi?
Ila nahreal nadhan angeachana na kumiliki wasanii astick kwenye kuwa producer na kuwa mwimbaji yeye na demu wake.
Akiongeza kuwa na wasanii na kuwamanage ata loose kimoja kati ya kuwa producer mzur ama mwimbaji.
Baada ya ngoma ya kamatia chini, hawakatoa goma kali lililopata mapokezi kama yale ya kamatia chini.
Anahofia bure tu demu mwenyewe flatscreen nani ashobokeEti naskia Aika ana wivu sana. Anaogopa Nahreal watashea ndo maana [HASHTAG]#Rosaree[/HASHTAG] anasepa... Akina Chinbess, selline, wildad, rosa ree wametoka... Nataniiia bhn...
Kumbe ni mchaga! Basi nitaanza kumfatilia.Huyu mchaga nae atafute cha kifanya....Rap haimkubali kabisa
Hivi kwanini wanawake huwa mnaonea wivu kiasi hiki?!Huyu mchaga nae atafute cha kifanya....Rap haimkubali kabisa
We ngasa aliyekwambia mimi demu nani?Hivi kwanini wanawake huwa mnaonea wivu kiasi hiki?!
Hahah umemkomesha huyo mkabila.Kumbe ni mchaga! Basi nitaanza kumfatilia.
Rosa Ree Afunguka Kuachana na Lebo ya The Industry...Atoa Nyimbo Mpya.
Hivi ni kipi Kiswahili sahili, Atoa nyimbo mpya au Atoa wimbo mpya?
Hutujui wanaume weweAnahofia bure tu demu mwenyewe flatscreen nani ashoboke
Katoa nyimbo mpya ngapi?Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Dow’ amesema mkataba wake na label hiyo ulimalizika na hakuongeza tena, hivyo hivi sasa anaendelea na watu waliokuwa akifanya nao kazi toka awali.
Download Wimbo wake Mpya HAPA
Wimbo umojaRosa Ree Afunguka Kuachana na Lebo ya The Industry...Atoa Nyimbo Mpya.
Hivi ni kipi Kiswahili sahili, Atoa nyimbo mpya au Atoa wimbo mpya?